Sehemu ya Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Mbilu kwenye Ibada ya Mwisho wa Mwaka 2025
Автор: KKKT DKMS Online TV
Загружено: 2025-12-31
Просмотров: 71
Ibada ya Mwisho wa Mwaka kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Ibada hii iliongozwa na Neno Kuu lisemalo:“Bwana ametutendea makuu.”
Ibada hii ilifanyika KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,
Jimbo la Pwani, Usharika wa Kana na kuongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu. Tarehe 31/12/2025.
Karibu tushiriki pamoja katika ibada hii ya shukrani, tafakari na matumaini mapya tunapokabidhi mwaka unaoisha na kuukaribisha mwaka mpya mbele za Bwana 🙏
Masomo.
Zaburi. 65: 7-13
Ebr:13:8
Lk. 17: 11-19
TMW. 262
Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii
INSTAGRAM - / elctned
FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese
FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese
YOUTUBE - / KKKT DKMS Online TV
WEBSITE: www.elctned.org
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 743 399 798.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: