BWANA MAISHA YANGU MIMI NAKUPA BWANA - Tassia Catholic choir
Автор: Camtech Communication Services
Загружено: 2024-01-22
Просмотров: 12316
1.Maisha yangu nakutolea ee Mungu wangu unipokee )*2
CHORUS
Bwana Maisha yangu mimi nampa Bwana( yote nampa)*2,
Bwana nilivyo navyo vyote ni mali yako
2.Ujana wangu (mimi) uliyonipa (wewe) najitolea (kwako) kukuhudumu (wewe)
3. Uzee wangu (mimi) uliyonipa (wewe) najitolea (kwako) kukuhudumu (wewe)
4.Nimeamua (mimi) na nyumba yangu (yote) kukutumikia (Bwana) milele (yote)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: