NENO LA SIKU | Matendo 21 | Maombi Ya Kutakasa Nafsi | Isaac Javan
Автор: Neno La Siku
Загружено: 2025-10-03
Просмотров: 1394
BWANA YESU asifiwe! Siku ya leo tunaenda kufanya maombi ya kutakasa nafsi. Unafahamu kwamba nafsi yako ikiwa na shida, nguvu yako ya maombi inapungua? Unafahamu kwamba nafsi yako ikinajisika, unashindwa kuwa na maombi yenye matokeo.
Katika maombi tunayoenda kufanya siku ya leo, nakuombea BWANA YESU akufanyie ushindi, aitakase nafsi yako na kukurejeshea nguvu ya maombi kwa utukufu wa jina lake. Mungu akubariki sana na kukutunza daima. Ameen
Neno la Siku
Isaac Javan | +255 745 764 572
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: