Wakaazi Kisiwa Cha Faza, Kaunti Ya Lamu Walalama Kuwa Maji Waliyokuwa Nayo Yalikuwa Ni Ya Chumvi
Автор: Ebru TV Kenya
Загружено: 2020-10-05
Просмотров: 776
Wakazi Wa Kisiwa Cha Faza, Kaunti Ya Lamu Wameiomba Serikali Ya Kaunti Kuharakisha Utimizaji Wa Mradi Wa Ujenzi Wa Bomba La Maji Wakidai Kwamba Mradi Huo Ulikuwa Umechukuwa Muda Kukamilishwa Hata Baada Ya Mamilioni Ya Fedha Kutumiwa Kuhitimisha Mradi Huo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: