Sakramenti ya Ubatizo | Parokia ya Mt. Augustino Salasala | 7 Septemba 2025.
Автор: St.Augustine Parish Salasala-Dar es Salaam
Загружено: 2025-09-13
Просмотров: 145
Dominika ya 23 ya Mwaka C imekuwa ya pekee katika Parokia ya Mt. Augustino Salasala, tuliposhuhudia furaha ya sakramenti ya Ubatizo. Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha mapya katika Kristo na kuendelea kushiriki safari ya imani pamoja kama familia ya Mungu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: