Ujuzi ni Maisha Mafunzo katika fani ya Uandaaji na Utayarishaji wa chakula
Автор: VETA Tanzania
Загружено: 2019-10-29
Просмотров: 3353
VETA kupitia vyuo vyake nchini imekuwa ikitoa mafunzo ya Uandaaji Chakula ili hatimaye watu waweze kupika na kuandaa vyakula vya aina mbalimbali kwa ustadi zaidi. Licha ya kufundisha namna mbalimbali za mapishi, msisitizo unawekwa kwenye kuzingatia usafi na afya kwa mlaji.
Mpenzi mtazamaji shughuli za mapishi na uandaaji chakula zinaajiri watu wengi, hasa vijana na kina mama.
Kukua na kupanuka kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini, hasa maendeleo ya viwanda kunazalisha fursa katika mahitaji ya vyakula bora vyenye viwango vya kimataifa ambapo ujuzi wa kuviandaa unahitajika.
katika kipindi hiki utapata fursa ya kuelewa kwa kina zaidi juu ya mafunzo haya na kujionea namna mafunzo yanatolewa kwa vitendo katika vyuo vya VETA Dar es salaam,VETA Dodoma na chuo cha VETA Mikumi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: