UDT - ANTON SANGA AWACHIMBA BITI WANAOMSUMBUA FESTO SANGA IKIWA MUDA WA KAMPENI BADO,
Автор: IBU Studios
Загружено: 2024-04-07
Просмотров: 261
Katika tamasha la Pasaka la Shirika la UDT kutoka jamii ya kabila la wawanji,
Muhandisi Anton Sanga katibu Mkuu Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi ,
Anton Sanga amesema wale tuliokuwa na imani nao, tukawapa madaraka tuwaache wafanye kazi mpaka muda ufike.
katika mazungumzo yake amesema anamshangaa Mbunge amewezaje kufika Matamba kwa wakati ikiwa barabara hakuna, akamwambia mbunge au umepaa?
licha ya mambo mengine pia Muhandisi Anton Sanga amewashukuru kampuni ya UDT kumualika kuja kwenye tamasha la kufurahi, kwani sisi wana makete ni wamoja hivyo kumualika yeye mtu wa Lupila ni kuonyesha kwamba hakuna ukabila, hivyo mtu yeyote anaweza kualikwa mahali popote.
Anton Sanga, amemuhakikishia Mbunge Festo Sanga wa Jimbo la Makete kuwa atampa ushurikiano mpaka mwisho, kadri itakavyotakiwa kwenye sekta anazozisimia yeye.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: