KIJANA AIBA NG'OMBE NA KWENDA KUPELEKA POSA YA KUMUOA BINTI WA KIDATO CHA KWANZA
Автор: Geah Habibu
Загружено: 2020-05-19
Просмотров: 20456
Likizo ya dharura kwa wanafunzi inaendelea kuzua majanga.Hili limetokea maeneo ya Kitunda Machimbo ambapo kuna kijana wa miaka 17 ameiba Ng'ombe wa kaka yake na kwenda kupelea posa ili amuoe binti wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 14..!Fwatilia tukio hili kwa umakini kisha utoe maoni yako.
Endelea kufwatilia channel yetu ya geahhabibu ili uweze kuyajua mengi yanayojiri kwenye mitaa yetu
#geahhabibu #GeahTv #MatukoyaGeah
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: