1]CEO TAJIRI ANAMDHARAU KWA KUWA YEYE NI MASKINI, LAKINI ANAPOPOTEZA KUMBUKUMBU,ANATESEKA BALAA OYA🙆
Автор: POP MOVIE RECAPS TZ
Загружено: 2025-12-09
Просмотров: 16955
Shan anaingia kwenye siku ya harusi yake, lakini mambo yanageuka kuwa hatari pale Bw. Tang anapomfuata na kusababisha ajali inayomtoa Shan barabarani hadi baharini. Wakati familia, Yuni na marafiki wakidhani amekufa, Shan anaamka ufukweni bila kumbukumbu yoyote—na anakutana na Kanu, anayemchukua nyumbani bila kujua kuwa ni bwana harusi aliyepotea.
Katika sehemu hii tunafuatilia ajali, drama ya harusi iliyofutwa, na mwanzo wa safari mpya ya Shan akiwa na jina bandia “Tangao.”
#Dunia #e7bits #simulizimedia #movierecap #johnrecap49 #e7bits #Achilesmovierecaps #Asmafilms #clamvevo #babajoan #chadomasta
#kidege #swahilimovies #mastory24 #bongomovies #popmovierecapstz
🎵 Music: “Snowfall” by Scott Buckley — released under CC-BY 4.0
🔗 https://www.scottbuckley.com.au/libra...
📜 Licensed under Creative Commons Attribution 4.0
@ScottBuckley
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: