KIJANA ATUNDIKWA JUU YA MTI UCHI NA KUCHAPWA HADI KUFARIKI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MAHINDI.
Автор: GADI TV
Загружено: 2025-08-13
Просмотров: 20202
Kijana anayefahamika kwa jina la Wilium Mbise (28) mkazi wa Kata ya King’ori wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia ikidaiwa ni baada ya kuchapwa viboko akiwa uchi wa mnyama huku akiwa ametundikwa juu ya mti na vijana wa rika lake la jamii ya Wameru, kwa tuhuma ameiba mahindi yaliyokuwa shambani wilayani humo.
Inaelezwa kuwa, awali mtu mmoja aitwae Samweli Sarakikya mkazi wa eneo hilo alidai kuwa ameibiwa mahindi yake shambani kiasi cha wastani wa gunia moja, na vijana wa rika la Kilovio walianza kuwatafuta vijana wanaohisiwa, na kufikia Agasti 11, 2025 vijana watano walikamatwa na kuingizwa porini na kuchapwa viboko kulingana na utaratibu wa Jamii hiyo wa fimbo sabini.
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected]
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: