ENG. KASEKENYA AMTAKA MKANDARASI 'DODOMA OUTER RINGROAD' KUONGEZA KASI, "PANDENI MITI" WAFIKIA 93%
Автор: Wizara ya Ujenzi
Загружено: 2025-11-28
Просмотров: 1061
Naibu Waziri Kasekenya amekagua barabara ya mzunguko wa nje wa Dodoma (outer ring road) yenye urefu wa km 112.3 na kuwataka wakandarasi CCECC anayejenga sehemu ya kwanza Nala-Veyula-Ihumwa km 52.3 na Avic anayejenga sehemu ya pili Nala-Matumbulu-Mtumba km 60 kuongeza kasi ya ujenzi ili mradi ukamilike kwa wakati na hivyo kupunguza msongamano.
Aidha amehimiza bidii katika uwekwaji wa alama za barabarani, taa na upandaji wa miti kwaajili ya kupendezesha barabara hiyo.
Kukamilika kwa barabara ya mzunguko wa nje wa Dodoma kutapunguza msongamano na kuchochea uchumi jijini Dodoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: