“ Qaswida mpya 2025 🔥 – Ukhty Raudhat, Rashna & Nasra | Tudumishe Amani Yetu (Official video HD)”
Автор: MJAWIR MEDIA
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 770
“Qaswida hii mpya ‘Amani ni Utu’ inaleta ujumbe wa mshikamano, huruma na kudumisha amani katika jamii zetu. Katika dunia yenye changamoto nyingi, amani ndio msingi wa utu. Tafadhali share ili ujumbe huu uenee zaidi
👉 Tafadhali tazama hadi mwisho, share, comment na usisahau kusubscribe ili ujumbe huu wa amani uenee kote duniani.
🎶 Credits:
Performed by: [Mjawir group]
Produced by: King Production 🎬
Location: Zanzibar, Tanzania 🇹🇿
#Amani #Qaswida #Peace #Nasheed #AmaniNiUtu #QaswidaMpya
#Qaswida #Tanzania #Amani #UkhtyRaudhat #Nasra #Rashna
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: