Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

DARAJA LA ZAMANI LA MTO MARA LASOMBWA NA MAJI

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2020-04-23

Просмотров: 4157

Описание:

Daraja la zamani la mto Mara linalotenganisha Wilaya ya Tarime na Serengeti limesombwa na maji huku nyumba zilizoko jirani zikizingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.
Leo Alhamisi Aprili 23, 2020 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amefika eneo la tukio na kueleza kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha.
Amewataka wananchi kutosogea eneo hilo kwa kuwa maji yanazidi kuongezeka na kwamba kama kusingekuwa na daraja jipya mawasiliano kati ya sehemu hizo yangekatika huku akiwaonya wananchi kutopitisha mifugo katika daraja hilo, kutaka wapakie mifugo kwenye magari.
Mwenyekiti wa kitongoji cha mto Mara, Gisiri Mkare amesema wamefanikiwa kuokoa baadhi ya samani za nyumba zilizozingirwa maji.
Mmoja wa waliokumbwa na mafuriko, Werema Kisyeri amesema asubuhi alishtuka kuona maji yamejaa ndani, “niliokoa vitu vichache baada ya msaada kutoka kwa majirani.”

Peter Bigoti mkazi wa kitongoji hicho amesema alifika nyumbani kwa Werema baada ya kusikia kelele na kumsaidia kuokoa vitu.

DARAJA LA ZAMANI LA MTO MARA LASOMBWA NA MAJI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

⚡️Путина ЗАГНАЛИ в ТУПИК! В панике РЕШИЛСЯ на БЕЗУМНОЕ. Россия НА ГРАНИ БУНТА. ГОРДОН, ЦИМБАЛЮК

🔴#TBCLIVE: KIPINDI MAALUM | TAMU NA CHUNGU ZA BARABARA YA TARIME-NYAMONGO-MAGUMU

9 фруктов, которые разрушают сосуды после 60 лет | Врач объясняет

HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018

⚡️ЖДАНОВ: СРОЧНО! Разведка США ВЫШЛА с СЕНСАЦИОННЫМ заявлением. СЛИЛИ инсайд из Кремля

Tarime Town Tour (Mara Region, Tanzania)

Maajabu!! Milima ya kustaajabisha mkoani Mara (sehemu ya 01)

Дикая Камчатка. Империя Воды и Огня | WILD EARTH | Полный документальный фильм о дикой природе |

WANANCHI SERENGETI WAPANDWA HASIRA, WAWATIMUA VIONGOZI, WAFUNGA SHULE ya KIJIJI...

Mto Mrefu Kuliko Yote Duniani, Maajabu ya Mto Nile Unaanzia Katika Ziwa Victoria

MAAFA RUFIJI WATU 6 WAPINDUKA NA MTUMBWI..LIVE ..WANNE MPAKA MUDA HUU WAJAPATIKANA......

WAITARA ASUSIA KIKAO CHA BUNGE, AANGUA KILIO, ADAI TARIME WAMEMJUA ADUI YAO.

Mvua yasababisha mafuriko Mara| Wananchi waomba msaada

Самые Мощные Прорывы Дамб, Снятые на Камеру

GWAJIMA ''YAMEKUPATA KWASABABU NILIKATAA UTEKAJI'' GWAJIMA APIGILIA MSUMARI SAKATA LA UTEKAJI

МЕСТЬ ЗА ОДЕССУ НАЧАЛАСЬ! Европа стягивает войска к границам РФ: Украина получит ВСЕ — ШОК В КРЕМЛЕ!

Daraja la Mto Simiyu lafungwa kupisha matengenezo

Самые Опасные Дороги в Мире, По Которым Вы Не Захотите Проехать

A-Z MAFURIKO YALIVYOUA WATU TISA WA FAMILIA MOJA MKOANI MARA

ШОК-ОТКРЫТИЕ АВИЦЕННЫ: Этот ОВОЩ СПАСЕТ ВАШИ НОГИ! Результат за неделю!

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]