Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

RC MRINDOKO AKAGUA DARAJA LA IKONDAMOYO, ATOA WITO WA ULINZI NA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

Автор: KATAVI RS

Загружено: 2025-12-18

Просмотров: 26

Описание:

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko, amefanya ziara ya kikazi kukagua daraja la Ikondamoyo lililopo katika Kijiji cha Ikondamoyo, Kata ya Uruwira, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, mkoani Katavi, lililojengwa kwa lengo la kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi kwa wananchi wa eneo hilo.

Daraja hilo ambalo hapo awali lilikuwa kikwazo kikubwa katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo na utoaji wa huduma muhimu, sasa limeongeza urahisi wa usafiri na usafirishaji, hususan katika kipindi cha mvua.

Akizungumza na wananchi, RC Mrindoko ametoa wito kwa wananchi wote kushirikiana na Serikali katika kulitunza daraja na barabara hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu, akisisitiza umuhimu wa kuacha vitendo vya wizi wa miundombinu hususan vyuma na nondo, pamoja na kuepuka shughuli za kilimo pembezoni mwa barabara ambazo husababisha uharibifu wa miundombinu.

“Natoa wito kwa wananchi wote kulinda na kutunza daraja na barabara hii. Serikali imewekeza fedha nyingi kwa ajili ya maendeleo yenu, hivyo ni wajibu wetu sote kuhakikisha miundombinu hii inalindwa na kudumu kwa muda mrefu,” amesema Mhe. Mrindoko.

Aidha, amemtaka Meneja wa TARURA Mkoa wa Katavi kuhakikisha maboresho madogomadogo yanayohitajika yanafanyika kwa haraka, ikiwemo uwekaji wa mawe pembezoni mwa barabara ili kuzuia mmomonyoko wa udongo na kuongeza usalama wa miundombinu hiyo.

Kwa upande wao, wananchi wa Kijiji cha Ikondamoyo, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa ujenzi wa daraja hilo, wakieleza kuwa awali walikuwa wakikumbwa na changamoto kubwa za usafiri na utekelezaji wa shughuli za maendeleo, huku wanafunzi wakishindwa kufika shuleni kwa wakati, hali ambayo sasa imepatiwa ufumbuzi.

@ortamisemi @maelezonews @msemajimkuuwaserikali @tarura_tanzania @nsimbodctz

RC MRINDOKO AKAGUA DARAJA LA IKONDAMOYO, ATOA WITO WA ULINZI NA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WASISITIZWA USHIRIKIANO NA KULINDA AMANI

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WASISITIZWA USHIRIKIANO NA KULINDA AMANI

SUA YAPELEKA MANUFAA KWA WAKULIMA TANGANYIKA.

SUA YAPELEKA MANUFAA KWA WAKULIMA TANGANYIKA.

MKOA WA KATAVI WAZINDUA MRADI WA KULINDA IKOLOJIA

MKOA WA KATAVI WAZINDUA MRADI WA KULINDA IKOLOJIA

MWENGE WA UHURU KATAVI 2025: RC MRINDOKO ATOA WITO WA UMOJA NA USHIRIKI MKUBWA KWA WANANCHI.

MWENGE WA UHURU KATAVI 2025: RC MRINDOKO ATOA WITO WA UMOJA NA USHIRIKI MKUBWA KWA WANANCHI.

RC MRINDOKO AZINDUA RASMI MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI KATAVI

RC MRINDOKO AZINDUA RASMI MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI KATAVI

RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.

RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.

ELIMU YA WATU WAZIMA NGUZO MUHIMU KWA USTAWI WA TAIFA KATIKA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

ELIMU YA WATU WAZIMA NGUZO MUHIMU KWA USTAWI WA TAIFA KATIKA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

RC MRINDOKO ATOA ONYO KWA TAASISI ZA UMMA KUZALISHA MADENI MAPYA, ASISITIZA UADILIFU.

RC MRINDOKO ATOA ONYO KWA TAASISI ZA UMMA KUZALISHA MADENI MAPYA, ASISITIZA UADILIFU.

KATAVI: RC MRINDOKO AKAGUA MIRADI YA MIUNDOMBINU, ATOA MAAGIZO KWA TANROADS NA TARURA.

KATAVI: RC MRINDOKO AKAGUA MIRADI YA MIUNDOMBINU, ATOA MAAGIZO KWA TANROADS NA TARURA.

ULINZI VYANZO VYA MAJI JITIADA ZIONGEZWE

ULINZI VYANZO VYA MAJI JITIADA ZIONGEZWE

Wafadhili wa Mradi Ujenzi wa Barabara ya lami Kagwira-Karema Bandarini wafika Katavi

Wafadhili wa Mradi Ujenzi wa Barabara ya lami Kagwira-Karema Bandarini wafika Katavi

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2025 MKOANI KATAVI.

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2025 MKOANI KATAVI.

RC MRINDOKO ASEMA BIMA YA AFYA KWA WOTE ITAONDOA CHANGAMOTO ZA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA MATIBABU

RC MRINDOKO ASEMA BIMA YA AFYA KWA WOTE ITAONDOA CHANGAMOTO ZA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA MATIBABU

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 23.12.2025 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 23.12.2025 | TV Republika

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KATAVI WAPEWA NGUVU MPYA KUFUNGUA FURSA ZA ZABUNI KWA MAKUNDI MAALUM

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KATAVI WAPEWA NGUVU MPYA KUFUNGUA FURSA ZA ZABUNI KWA MAKUNDI MAALUM

⚡️АСЛАНЯН: ЭТО ВИДЕО РВЁТ интернет! Путина СПАЛИЛИ на камеру. СРОЧНЫЙ УКАЗ по

⚡️АСЛАНЯН: ЭТО ВИДЕО РВЁТ интернет! Путина СПАЛИЛИ на камеру. СРОЧНЫЙ УКАЗ по "СВО". Теперь всё ясно

RC MRINDOKO AKABIDHI OFISI YA MACHINGA NA MAAFISA USAFIRISHAJI.

RC MRINDOKO AKABIDHI OFISI YA MACHINGA NA MAAFISA USAFIRISHAJI.

RC MRINDOKO AWAOMBA WANANCHI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA, ASEMA MKOA WA KATAVI UKO SALAMA

RC MRINDOKO AWAOMBA WANANCHI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA, ASEMA MKOA WA KATAVI UKO SALAMA

KERO YA MAJI DAR SASA BASI MTO RUVU MAMBO YAZIDI KUNOGA BAADA YA MAJI KUONGEZEKA

KERO YA MAJI DAR SASA BASI MTO RUVU MAMBO YAZIDI KUNOGA BAADA YA MAJI KUONGEZEKA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]