YESU ANAWEZA by Festo Mtumbe
Автор: Festo Mtumbe
Загружено: 2025-08-01
Просмотров: 10881
YESU ANAWEZA Lyrics
Jiachie
Weka shangwe kwa YESU
HALELUYA
Bwana ndiye Mchungaji wangu,Sina hofu mbele ya adui
Maana Farao na jeshi lake amewatupa wote baharini,
Amenipa ujasiri ninampenda sana Mwokozi, Nitaimba sifa zake Milele na Mileleeee.x2
Anaye nifanya ni ng'are popote nilipo
Ni YESU
Anaye nipa kumiliki na ku tawala
Ni YESU
Anaye waziba maadui zangu midomo
Ni YESU
Anaye nifanya mshindi zaidi ya kushinda
Ni YE.
Bwana ndiye Mchungaji wangu,Sina hofu mbele ya adui
Maana Farao na jeshi lake amewatupa wote baharini,
Amenipa ujasiri ninampenda sana Mwokozi, Nitaimba sifa zake Milele na Mileleeee.

one two, one two
V/s
Mimi ni mwana naye kwangu ni Baba, Aliniumba Toka tumboni mwa Mama.
alinijua kabla sija zaliwa, akanifamya Nabii Mkuu ju ya mataifaee
Yawheeeee.
Bwana ndiye Mchungaji wangu,Sina hofu mbele ya adui
Maana Farao na jeshi lake amewatupa wote baharini,
Amenipa ujasiri ninampenda sana Mwokozi, Nitaimba sifa zake Milele na Mileleeee.
Anaye nifanya ni ng'are popote nilipo
Ni YESU
Anaye nipa kumiliki na ku tawala
Ni YESU
Anaye waziba maadui zangu midomo
Ni YESU
Anaye nifanya mshindi zaidi ya kushinda
Ni YE.
Bwana ndiye Mchungaji wangu,Sina hofu mbele ya adui
Maana Farao na jeshi lake amewatupa wote baharini,
Amenipa ujasiri ninampenda sana Mwokozi, Nitaimba sifa zake Milele na Mileleeee.
Uyu BWANA ni Nuru yangu na Wokovu wangu ni muogope nani,Tena ni ngume yangu na Uzima wangu niuhofu nani?
HATA majeshi wajapo jipanga kweli kupigana NAMI
sitaogopa
HAowambea wajapo simama kunisema vibaya
sitaogopa
Hata wachawi wakisimama kuniloga
sitaogopa
Mimi ninaye Yesu
ninaye Yesu
Ninaye Yesu
ninaye Yesu
Ninaye Yesu
ninaye Yesu
Ninaye Yesu
ninaye Yesu
Yesu wangu anaweza
anaweza
Anaweza
anaweza
Uyu Yesu kiboko
kiboko
Kiboko
kiboko
Kiboko
kiboko
Kiboko
kiboko
Mimi ninaye Yesu
ninaye Yesu
Ninaye Yesu
ninaye Yesu
Ninaye Yesu
ninaye Yesu
Ninaye Yesu
ninaye Yesu
Yesu wangu BABALAO
BABALAO
BABALAO
BABALAO
YESU BABALAO
BABALAO
BABALAO
BABALAO
YESU BABALAO
BABALAO
BABALAO
BABALAO
Yesu wangu anajibu
anajibu
Anajibu
anajibu
Yesu anajibu
anajibu
Anajibu
anajibu
Yesu Anaweza
anaweza
Yesu Anaweza
anaweza
Yesu ana weza
Anaweza Yesu Anaweza
Anaweza Yesu Anaweza
Anaweza Yesu Anaweza
Anaweza Yesu Anaweza
Alipasua
Alipasua bahari ya Shamu tukavuka
Bwana ameangusha ukuta wa YERIKO
anaweza Yesu anaweza
Alipasua
Alipasua bahari ya Shamu tukavuka
Bwana ameangusha ukuta wa YERIKO
anaweza Yesu anaweza
Alipasua
Alipasua bahari ya Shamu tukavuka
Bwana ameangusha ukuta wa YERIKO
anaweza Yesu anaweza
Unafikiri Yesu anashindwa kuinua= Hapana
Anashindwa KUBARIKI= hapana
Anashindwa na nini= hakuna
Uyu Yesuee
Anaweza Yesu Anaweza
Unafikiri Yesu anashindwa kukupa gari= hapana
Anashindwa kukupa watoto= hapana
anashindwa nanini = hakuna
Uyu Yesuee
Anaweza Yesu anaweza
Unafikiri Yesu anashindwa kuponya= hapana
Anashindwa kujibu= hapana
Anashindwa na nini=hakuna
Uyu Yesuee
Anaweza Yesu anaweza.
Alipasua
Alipasua bahari ya Shamu tukavuka
Bwana ameangusha ukuta wa YERIKO
anaweza Yesu anaweza
Twende on ,two, on two Pasua....
Music
Alipasua
Alipasua bahari ya Shamu tukavuka
Bwana ameangusha ukuta wa YERIKO
anaweza Yesu anaweza
Alipasua
Alipasua bahari ya Shamu tukavuka
Bwana ameangusha ukuta wa YERIKO
anaweza Yesu anaweza
Alipasua
Alipasua bahari ya Shamu tukavuka
Bwana ameangusha ukuta wa YERIKO
anaweza Yesu anaweza .....
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: