UKE WENZA - Kwanini wanawake wengi huchukia ndoa za wake wengi ..? MUHADHARA | SHK: MOHAMMAD IDDI
Автор: Singo Media
Загружено: 2024-04-07
Просмотров: 592
Huu ni muhadhara uliofanyika Masjid Mnyamani - Buguruni Dar es salaam -Tz ukiongozwa na Sheikh Mohammad Iddi kwa wanawake wa kiislam | mada ni ndoa za wake wengi katika jamii ya kiislam na namna ya kutatua changamoto zinazopatikana ktk ndoa hizo kupitia maswali na mjadala wa moja kwa moja baina ya Sheikh Mohammad Iddi na wanawake wa kiislam. Endelea kutazama channel yetu kwa vipindi vizuri vyenye maadili mema na mafunzo kwa jamii. #islam #quran #salafi #motivation #dua #africa
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: