Israel yaendeleza mashambuzi na kuvunja makubaliano ya amani Gaza
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-10-21
Просмотров: 2307
Israel imeendelea kuushambulia ukanda wa Gaza licha ya kuweka makubaliano ya amani ya kusitisha vita katika ukanda huo.
Katika mkataba uliowekwa Israel ilitakiwa kuondoka katika ardhi ya Gaza huku Hamas kukabidhi mateka wote wa Israel.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: