Elisha George ft Filbert sangule-Ushuhuda ( official video) 4k |Dir Scope|NEF
Автор: Elisha George
Загружено: 2021-12-28
Просмотров: 19617
ushuhuda ni Wimbo Niliofanya na mtu wa Mungu FILBERT SANGULE Na ni Wimbo unaoelezea ukuu wa Mungu kule aliponitoa Mimi Na Pia Mama yangu ambaye aliugua kwa kipindi kirefu katika kutabiriwa kifo Mpaka Kupona Kwake Mungu ametushangaza sana mpaka hapa alipofika
Nikukumbushe kitu kwenye hali yoyote Ya manyanyaso dharau magomvi kukataliwa Humo kuna nguvu sana kubali hayo ili Mungu abadilishe historia yako...
song written by Me;
PRODUCER; BN RECORDS
DIRECTOR 🎬; MNYAMA SCOPE
INSTAGRAM ; @OFFICIALELISHAGEORGE
FACEBOOK ; ELISHA GEORGE
AUDIOMACK; ELISHA GEORGE
YOUTUBE; ELISHA GEORGE
UBARIKIWE SANAA UNAPOTAZAMA WIMBO HUU 🙏🙏
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: