Bshungwa CCM Chama pekee Kinaweza kuongoza bila machafuko 📍Nyaishozi
Автор: Bukobawadau Live
Загружено: 2025-10-10
Просмотров: 146
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Innocent Bashungwa, ameendelea na kampeni za kuomba kura za Mgombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Karagwe kwa kueleza kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuendelea kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko.
Bashungwa ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika kijiji cha Nyakayanja, Kata ya Nyaishozi, ambapo alitumia nafasi hiyo kuwataka wananchi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu kwa kujitokeza kupiga kura za Ndiyo kwa wagombea wa CCM ifikapo Oktoba 29.
#bukobawadaulive #uchaguzimkuu2025 #Maragwe
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: