Biashara ya DADA POA ilivyokithiri Singida
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-12-27
Просмотров: 13595
Wakazi wa mtaa wa Arusha Road uliopo kata ya Minga katika manispaa ya Singida wamelalamikia kurejea na kuongezeka kwa biashara haramu ya kuuza miili maarufu kama dadapoa inayofanywa katika vichochoro vya mtaa huo
Mwenyekiti wa mtaa wa Arusha Road Saidi Shabani amesema katika eneo hilo upande wa kushoto husimama wadada na upande wa kulia husimama watoto wa kiume wenye umri kati ya miaka 15 hadi 20 wanaosoma kidato cha 3 mpaka cha 4 ambao hujigeuza kama
wadada na kufanya biashara hio
Eneo la Kirima ndio eneo maarufu na alama ya biashara hio mkoani Singida licha yakuzungukwa na makazi pamoja na shughuli mbalimbali za watu ila biashara hio hufanyika njenje kuanzia majira ya jioni pindi tu giza linapoingia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: