“Mnataka watanzania wajifungie ndani ndio wale samaki?” –Spika Ndugai
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-06-20
Просмотров: 31707
Baada ya sakata la Maofisa wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuingia katika mgahawa wa Bunge na kukagua samaki kwa madai ya kupewa maagizo na Waziri wa wizara hiyo Luhaga Mpina, Spika wa Bunge Job Ndugai leo amesemawataka Wabunge kumsamehe Waziri huyo baada ya kulikosea Bunge.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: