JINSI YA KUANDIKA WASIFU BINAFSI BORA kwa ajili ya Maombi ya Ajira
Автор: Mwalimu Bassu
Загружено: 2020-10-03
Просмотров: 8155
Jinsi ya Kuandika WASIFU BINAFSI
Pia Karibu katika Group letu la WhatsApp la ELIMU YA KOMPYUTA BURE
https://chat.whatsapp.com/Gb9VZRlTIGr...
Je, unatafuta Ajira?
Je, unapenda kufanya kazi kwenye kampuni kubwa na zenye mafanikio zaidi?
Je, huwa unasumbuka kuandika Wasifu Binafsi, kwamba uanzie wapi na uishie wapi?
Kama jibu ni NDIYO kwenye moja ya maswali hapo juu basi hujakosea kusoma post hii, nikukaribishe tujifunze pamoja kwa muda wa dakika zisizozidi 20 “JINSI YA Kuandaa Wasifu Binafsi” wenye mashiko kwa Waajiri.
Karibu sana.
LINK:
#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Microsoft_Word
PIA WAWEZA JIFUNZA
JINSI YA KUANDIKA CV BORA YA MAOMBI YA AJIRA
LINK: • Jinsi ya KUANDIKA CV BORA ya Maombi ya Aji...
“JINSI YA KUANDAA KADI YA MWALIKO WA KIPAIMARA” Kwa Microsoft Word.
LINK: • Jinsi Ya KUANDAA KADI ya MWALIKO WA KIPAIMARA
JINSI YA KUCHORA KWA KOMPYUTA tukitumia Mfano wa “MICROMETER SCREW GAUGE”.
LINK: • Jinsi ya Kuchora MICROMETER SCREW GAUGE kw...
JINSI YA KUCHORA KWA KOMPYUTA tukitumia Mfano wa “VERNIER CALIPERS”.
LINK: • JINSI YA KUCHORA VERNIER CALIPERS KWA KUTU...
JINSI YA KUANDAA STICKER BORA NA RAHISI ZA KARANGA TAMU ZA MAYAI kwa Microsoft Word.
LINK: • Jinsi Ya Kuandaa Sticker Bora na Rahisi za...
JINSI YA KUTENGENEZA LOGO Kwa Microsoft Word.
LINK: • Jinsi ya Kutengeneza LOGO kwa Microsoft Wo...
PICHA ZILIZOTUMIKA
Table Rectangle Easel, Whiteboard, silver framed white board with stand free png
https://www.pngfuel.com/free-png/anjvm
Teacher Blackboard Classroom School, teaching free png
https://www.pngfuel.com/free-png/nhldb
Brick Stone wall Foundation, Red brick wall, graphy of brown bricks wall free png
https://www.pngfuel.com/free-png/ccbhp
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: