Panga pangua ya Askofu Mwijage Bukoba/ Atangaza Parokia teule 2 mpya/ Upadrisho Bukoba 2024
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2024-09-07
Просмотров: 10521
MISA YA UPADRISHO- BUKOBA.
Ni katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi watano na Ushemasi kwa Frateri Paul Kahwa.
Waliopewa Daraja Takatifu ya Upadre ni Padre Allanus Kabobo wa Parokia Watakatifu Petro na Paulo-Kishogo, Padre Beatus Kaijage Parokia ya Bikira Maria Mama wa Msaada wa Daima-Kagondo, Padre Cassius Rwelamiza Parokia ya Maria Magdalena Ngote, Padre Prudence Mujwahuzi Parokia ya Yohane Maria Muzeyi-Minziro na Padre Willbrord Ndyamukama Parokia ya Bikira Maria wa Fatima-Itahwa Jimbo Katoliki Bukoba. Katika Misa hiyo pia Askofu Jovitus Mwijage ametoa Daraja takatifu ya Ushemasi kwa Shemasi Paul Kahwa wa Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Ulimwengu-Kijwire .
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: