RC TANGA Atinga HOROHORO Kwa KUSHTUKIZA, AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 8 wa SERIKALI...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-11-26
Просмотров: 5138
RC TANGA Atinga HOROHORO Kwa KUSHTUKIZA, AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI 8 wa SERIKALI...
Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela amewasimamisha kazi watumishi 8 wa serekali waliokuwa wakifanya kazi mpakani mwa kenya na tanga horohoro tokana na kubaini na tuhuma mbalimbali zilizokuwa zikiwakabili.
Mkuu wa mkoa huyo amemuagiza Rpc pamoja watu wa takukuru kuapeleka rumande kwa ajili ya taratibu za uchunguzi na kisha waende mahakamani.
Ameyasema hayo kwenye kikao cha watumishi wote wa mpaka wa horohoro mara baada ya kupewa taarifa ya uchunguzi iliyoundwa na tume ya uchunguzi ikiongozwa na kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Tanga
Shigela amesema baada ya kuundwa kwa tume hiyo ya uchunguzi zaidi ya milioni 340 zimekusanywa kutokana na mizigo inayosafirisghwa kwa mabasi makubwa.
Amesema hakuna sababu ya kupitisha bidhaa kinyemera kwani Raisi Magufuli ameamua kusimamia na kuangalia vyanzo vya mapato ili kuweza kujiendesha wenyewe .
1Inspecta Korombe Alexander,Katibu wa tume wa kamati ya uchunguzi.
2/Martine Shigela Mkuu wa mkoa Wa Tanga.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: