MANGEKIMAMBI KURUDISHWA TANZANIA AELEZEA KOSA LAKE " KWA KOSA HILI MAREKANI WATAMRUDISHA KUSHTAKIWA"
Автор: UHURU MEDIA ONLINE
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 4021
Mwanahati Mangekimambi ambae anaishi marekani amefunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi Tanzania. katika kesi hii anadaiwa kujijusisha utakatishaji wa fedha kiasi cha Tsh 138.5 Million. Sheria ya kurejeshwa kwa watuhumiwa kutoka nje ya nchi ( extradiction act 2019 ) inatambua kosa la uhujumu ni kosa linaloweza kupelekea nchi ya Tanzania kuomba Mangekimambi Arejeshwe Tanzania.
#mangekimambi #mahakamani #mangekimambi_
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: