jikoni kwa mama Swaumu
Napika kwa kutumia vyombo na majiko ya kawaida tulivyonavyo wengi simple cooking with simple tools
https://www.tiktok.com/@jikonikwamamaswaumu?_t=ZM-8xwJmvzER7d&_r=1
Tanzania
Jinsi ya kupika pilau bata/pilau nyama ya bata/duck pilou/duck recipe.
Jinsi ya kupika wali wa viungo wa kufukiza,wali kuku/ rice recipe.
Jinsi ya kupika pilipili ya embe tamu/muwasho wa utamu.
Как приготовить яичный бириани с обычным рисом/бирьян без риса басмат/жареного яйца.
Jinsi ya kupika tambi za dengu za biashara/biashara ndogondogo.
Jinsi ya kukaanga dagaa wa ziwa Victoria kwa ajili ya biashara au zawadi.
Jinsi ya kupika mbaazi mbichi za nazi/green pigeon peas recipe
Jinsi ya kupika njugu mawe kitofauti/how to cook bambara beans in different way/njugu mawe recipes
Jinsi ya kuchoma mguu wa mbuzi kwenye mkaa/paja la mbuzi/nyama choma/bbq
Jinsi ya kukaanga kuku akauke vizuri/fried chicken
Mazoezi ya kutengeneza maua ya butter cream kwa wanaojifunza.butter cream flowers
Jinsi ya kupika chakula cha asili cha mkoa kagera/Enyungu ya buhaya/ndizi bukoba/traditional food
Jinsi ya kuchoma Mishikaki ya kuku kwenye mkaa/chicken grilled skewers/chicken recipes
Mazoezi ya kupamba keki kwa wanaojifunza, hamuwezi amini hii keki niliiuza.Black butter cream
Mazoezi ya kupamba keki kwa wanafunzi/kutumia kitana/nimepamba keki kwa ajili ya mume wangu.
Jinsi ya kupika supu ya kuku tamu/chicken soup recipe
Jinsi ya kuchoma kuku mzima kwenye oven/oven grilled chicken.
Vitafunwa rahisi kupika asubuhi ya siku ya Eid/simple snacks to cook in the morning of Eid.
Jinsi ya kupika karanga mbichi za kuchemsha/boiled green peanuts/kuvuna karanga.
Jinsi ya kupika mchemsho wa kambale/catfish stew
Jinsi ya kuoka samaki kwenye oven/oven grilled tilapia
Jinsi ya kupika mikate ya naan/kituruki/turkish bread
Jinsi ya kupika keki ya mwezi/keki ya Eid/keki ya limao/ lemon moon shape cake.
Jinsi ya kupika sambusa za viazi tamu/potatoes samosa
Jinsi ya kupika mkate wa kumimina kwenye mkaa/mkate wa mchele/mkate wa sinia/ rice bread.
Jinsi ya kupika muhogo wa nazi kwa samaki mbichi/cassava recipes/kufanya samaki mbichi asivurugike
Jinsi ya kupika tambi za maziwa/tambi za custard
jinsi ya kupika miguu ya kuku na vichwa,swahili foods/Tanzanian Street food.
jinsi ya kutengeneza juisi za biashara za 100/biashara ya juisi fursa kipindi cha jua mtaji kidogo.
Jinsi ya kupika bagia za kunde/black eyed peas bajia/bajia recipes.