jinsi ya kutengeneza juisi za biashara za 100/biashara ya juisi fursa kipindi cha jua mtaji kidogo.
Автор: jikoni kwa mama Swaumu
Загружено: 2025-02-18
Просмотров: 2406
Vipimo na bei
Maji lita 20 ndoo kubwa ndoo shilingi 100
Ladha shilingi 1500 unatumia ndoo 4
Rangi pakiti 2 shilingi 200
Sukari kl moja 2500
Ndimu ya unga 1500 inafunga ndoo 4
Mifuko pakiti shilingi 1000 inakaa Mifuko 100
Umeme 1200
Jumla 8000 mtaji
Unaweza kufunga ndoo 4 mpaka 10 kutegemea na wateja
Mm nimefunga ndoo 4 kila ndoo moja natoa juisi 77
Juisi 77×4=308
Kwa ndoo 4 juisi 308
308×100=30800 Tshs
30800-8000=22800 faida
22000 kwa siku kwa mwezi 500000
Ni ajira ya uhakika
Changamoto
Umeme kukatika (unaweza kununua barafu ukagongea)
Vifuko kupasuka vikiganda sana (chupa au vikombe ni vizuri zaidi).
Biashara kususua wakati wa mvua au baridi.
#Biashara ya juisi #Biashara mtaji mdogo #Biashara za mtaji shilingi 10000 #Biashara wakati wa joto #juice recipe #joto #jua kali #summer #juakali
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: