iFaith Network
Karibu kwenye iFaith Network tulianza kama imarisha imani yako, mahali ambapo tunaimarisha imani yako kupitia maudhui ya kina ya Kikatoliki! Tunakuletea mafundisho ya kidini ya Kanisa Katoliki kwa njia ya kuvutia na ya kuelimisha kupitia mitandao yetu ya kijamii, tovuti yetu www.ifaithnetworks.com, na pia kupitia barua pepe kwenye [email protected]. Kupitia mafundisho ya Biblia, tafakari, sala za pamoja, na mihadhara ya kiroho, tunakusaidia kukua katika uelewa wako wa imani ya Kikristo na kuboresha uhusiano wako na Mungu.
Jiunge nasi katika safari hii ya kiroho ya kujifunza, kushirikiana, na kukuza imani yetu pamoja. Usisahau kujiunga na familia yetu ya iFaith Network kwenye mitandao ya kijamii, kutembelea tovuti yetu www.ifaithnetworks.com, na pia kuwasiliana nasi kupitia barua pepe [email protected] kwa ajili ya kupata mafundisho ya Kikatoliki na kuwa sehemu ya jamii inayojitolea katika maboresho ya kiroho na kijamii.
KAZI NA SALA
NIWAJIBU WETU - (Official Music Audio)
MTOTO WA MZEE ALI KIBAO AONGEA KWA UCHUNGU KIFO CHA BABA YAKE AKIWALENGA WATAWALA WA TAIFA
KIAPO CHA UBATIZO || Baptism Swahili Hymn - (Official Music Audio)
PART 03 : SERIKALI ITAZAME VIJANA NA KUWEKEZA KWAO, RISASI HAIJAWAHI KULETA AMANI DUNIANI.
Dominika Ya Pili Ya Kipindi Cha Majilio || Jumapili 07 Disemba
PART 02 : WANASEMA VIJANA WALILIPWA KUFANYA MAANDAMANO HIZO PESA ZILIGAWANYA VIPI NA NANI..?
TUNAKUSHUKURU MUNGU BABA - (Official Music Audio)
MAMA MARIA NI MAMA YETU || By Mt. Mikaeli Malaika Mkuu Chang'ombe DSM - (Official Music Audio)
NITAKUSHUKURU BWANA - (Official Music Audio)
POKEE MWANGA - (Official Music Audio)
PART 01: SERIKALI IKUBALI KUWA WATU WAMEUWAWA KWA KUPIGWA RISASI KATIKA MAANDAMANO - PADRE KITIMA
BWANA YESU NI CHAKULA || Worship The Eucharist - (Official Music Audio)
NIMRUDISHIE BWANA NINI ..? - (Official Music Audio)
WASAA WA KUSIFU NA KUABUDU - || By Easther - ( Official Music Audio Collection )
MBALI KULE NASIKIA
NJOONI NYOTE - (Official Music Audio)
MALAIKA KALETA NOEL
HUBIRINI KWA KUIMBA || Baptism Swahili Hymn - (Official Music Audio)
NINAKUSHUKURU MUNGU - (Official Music Audio)
Dominika Ya Kwanza Ya Kipindi Cha Majilio || Jumapili 30 Novemba.
NIMRUDISHIE BWANA NINI - (Official Music Audio)
NIKUSHUKURU - (Official Music Audio)
BWANA YESU ATUALIKA || Worship The Eucharist - (Official Music Audio)
MSHUKURUNI BWANA MUNGU - (Official Music Audio)
MSHUKURUNI BWANA - (Official Music Audio)
MPAZI KATUBUKA - (Official Music Audio)
Sherehe ya Kristo Mfalme || Tafakari ya Dominika 34 Mwaka C wa Kanisa || Jumapili 23 Novemba.
EE MAMA WA MUNGU || By Mt. Mikaeli Malaika Mkuu Chang'ombe DSM - (Official Music Audio)
YAMETIMIA || By Mattias Mulumba - (Official Music Audio)