WASAA WA KUSIFU NA KUABUDU - || By Easther - ( Official Music Audio Collection )
Автор: iFaith Network
Загружено: 2025-12-02
Просмотров: 11
📖 iFaith Network – Sauti ya Imani
Karibu kwenye iFaith Network, mahali pa kuimarisha imani yako kupitia mafundisho, tafakari, na nyimbo za Kikatoliki! 🙏
Hapa tunakuunganisha na maudhui ya kiroho yanayogusa moyo, yanayokujenga kiimani, na kukuongoza katika safari yako ya Kikristo.
Kupitia video zetu, tunakuletea:
🎵 Nyimbo za dini kutoka kwa kwaya mbalimbali zenye ujumbe wa matumaini, upendo, na amani (zikiwa na ruhusa rasmi za matumizi).
📖 Mafundisho ya Biblia na tafikiri za kiroho zinazoeleza mafundisho ya Kanisa Katoliki kwa njia nyepesi, ya kuvutia, na ya kina.
🙏 Sala za pamoja na mihadhara ya kiimani ili kukuza uhusiano wako binafsi na Mungu.
👉 Jiunge nasi katika safari hii ya kiroho ya kujifunza, kusikiliza, na kushirikiana kukuza imani yetu pamoja.
Usisahau kusubscribe, kulike, na kushare ili kueneza Neno la Mungu kwa wengine.
🌐 Tembelea tovuti yetu: www.ifaithnetworks.com
📬 Wasiliana nasi: [email protected]
iFaith Network — Sauti ya Imani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: