Xtreme Media

Xtreme Media ni wazalishaji wa vipindi vya TV na Matangazo nchini Tanzania ambao tuna uzoefu katika tasnia ya Habari. Miongoni mwa vipindi tunavyozalisha ni Made In Tanzania ambacho huruka kila siku ya Jumatano saa 2:30 kupitia Clouds Tv. Kipaumbele chetu ni kukupa uchaguzi wa maudhui sahihi mitandaoni ambayo hupaswi kupitwa nayo kamwe.