#MadeinTanzania
Автор: Xtreme Media
Загружено: 2021-01-14
Просмотров: 9429
Kutana na vijana wa kitanzania ambao wanatengeneza bidhaa mbalimbali za Kitanzania kwa kutumia Ngozi. Vijana hawa wanaweza kutengeneza viatu, mikanda na sandals - Ezema Leather Products.
Vijana hawa wamefanikisha kuelezea namna ya kutengeneza kiatu cha ngozi kwa kutumia teknolojia rahisi na kutengeneza viatu vyenye ubora mkubwa.
SUBSCRIBE KUPATA VIDEO NYINGI KUHUSU BIDHAA ZA KITANZANIA NA FURSA ZAKE!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: