Saxophonist John Simba

Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze, msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi, msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana. Kila chenye pumzi na kimsifu BWANA. Zab 150:1-6.