Nimekombolewa na Yesu (Official video Lyrics)
Автор: Saxophonist John Simba
Загружено: 2023-12-30
Просмотров: 12785
Bwana Yesu asifiwe mpendwa. Nimekombolewa na Yesu ni wimbo pendwa unaozungumzia juu ya ukombozi wetu. Ukombozi wetu uligharimu maisha ya Mkombozi wetu Yesu Kristo.
Wimbo huu ni wimbo wenye ujumbe mzuri na pia mirindimo na sauti nzuri kuimba na hata kusikiliza.
Na Mungu akubariki sana.
sambaza injili -like, share, comment na pia Subscribe.
#kkktkariakoomorningglory
#kkktkijitonyama
#kkktkimara #kkkt
#johnsimba
#kwayakatoliki
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: