Raiya Tv

Karibu kwenye Raiya Media – nyumbani pa burudani halisi, tamthilia za kusisimua, na filamu bora kabisa za Kiswahili!
Tunakuletea tamthilia za maisha halisi, mapenzi, familia, vichekesho na visa vya kusisimua vinavyogusa kila Mtu

🎬 Kila wiki tunakuletea:

Tamthilia mpya za kibongo

Filamu za mapenzi, familia na uhalisia wa maisha

Hadithi za wanawake na jamii

Drama za kijamii zenye mafunzo na msisimko


🛎️ Subscribe sasa ili usipitwe na vipindi vyetu moto kabisa vinavyowakilisha maisha ya Kila Shabiki na Mdau Wetu kwa uhalisia na ubunifu wa hali ya juu.

📍Raiya Media – Sauti ya Watu, Maisha ya Watu.

Tamthilia za Kibongo

Filamu za Kiswahili

Hadithi za kweli

Bongo movies

Swahili drama

African movies

Maisha ya familia