NDOA EP 02 || Love Story 💞💞
Автор: Raiya Tv
Загружено: 2025-12-13
Просмотров: 9619
Baada ya miaka ya mateso nchini India, Lissa anarudi nyumbani akiwa na matumaini mapya ya kuanza upya maisha yake. Lakini anapofika anakuta mambo yamebadilika – mpenzi wake wa muda mrefu, Jesalu, sasa ni kichaa.
Pamoja na hali hii ngumu, Lissa hawezi kuacha upendo wake. Anaamua kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Jesalu kama ishara ya mapenzi ya kweli yasiyopimwa na akili, hali au muda.
Je, upendo huu unaweza kumponya Jesalu? Au ndiyo mwanzo wa safari mpya yenye majaribu makubwa zaidi?
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: