KKKT IMANI TV

KKKT Imani Television ni Youtube Chanel inayomilikiwa na Kanisa la KKKT Imani kanisa kuu DMZV. Makao makuu yako Makongoro Mwanza barabara ya kwenda Airport karibu na daraja la Rock City Mall.

KKKT Imani Tv itakuwa inahusika na kurusha ibada mbalimbali zinazofanyika katika usharika wa Imani na sharika zingine mkoani Mwanza na nje ya mkoa.

Channel hii ni moja kati ya Chombo cha Habari ambacho kiko katika Idara ya Habari na Mawasiliano katika usharika wa Kkkt Imani Kanisa kuu.

Email: [email protected]
Hotline: +255 612652997

UMEBARIKIWA.