MAFUNZO YA KUTENGENEZA MAJIKO SANIFU.
Автор: KKKT IMANI TV
Загружено: 2025-06-07
Просмотров: 58
KKKT - Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria
kupitia Mradi wa Uwakili, wametoa mafunzo ya vitendo ya namna ya kutengeneza majiko yanayotumia nishati kidogo kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kwenye maeneo yao ili kupunguza uharibifu na athari hasi katika mazingira
#elctelvd
#nishatijadidifu
#mazingira
#uwakili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: