Gairo Online TV

Karibu sana Mtazamaji wetu wa GairoDc online TV. Hii ni chanel inayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Lengo ni kukusogeazea taarifa muhimu za shughuli mbalimbali za maendeleo zinazotekeleza na Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka za Serikali za mitaa