KIKAO KAZI CHA DC KUBECHA NA WATAALAM WA HALMASHAURI
Автор: Gairo Online TV
Загружено: 2025-07-11
Просмотров: 145
Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Japhari Kubecha, Julai 11, 2025 amefanya kikao kazi na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri pamoja na Watumishi kutoka Taasisi mbalimbali za Umma zinazotoa huduma katika Wilaya ya Gairo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: