COLEND FARM

Hii ni channel maalumu kabisa(COLEND FARM CHANNEL)Kwa ajiri ya kujifunza namna sahihi ya ufugaji wa mifugo mbalimbali, kujua fursa pamoja na namna ya kuzikabili changamoto zilizopo katika ufugaji ili kuleta mafanikio zaidi katika jamii ya wafugaji.

CHANNEL VISION:
Advanced farming knowledge and skills, as well as building strong farming community.

CHANNEL MISSION
To provide best farming education and farming activities maximization for prosperity.