KUKU FARM. USIJE UKAVICHUKUA VIFARANGA HIVI, HATA UKIPEWA BURE(VITAKUGHARIMU).
Автор: COLEND FARM
Загружено: 2025-03-31
Просмотров: 3987
Wewe mfugaji kama unataka kufanya ufugaji wako na ukuletee matokeo usichukue vifaranga vinavyosambazwa bull au kwa bei ya chini kabisa mfano 20000/=. Huo ni utapeli hivi ni vifaranga ambavyo havikui, vinakula sana, ni rahisi kupatwa na magonjwa, rangi yake nyeupe kama broila, lakini wanasema ni chotara wakati hakuna chotara wote wenye rangi nyeupe tu. Angalia hii video itakusaidia sana
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: