JIMBO KATOLIKI MAFINGA

Chanel hii mali ya Jimbo Katoliki la Mafinga, ni sauti ya wengi kupitia kwa Baba Askofu, ni sauti ya Baba Askofu kutoka kwenu nyote. Ni Chanel maalumu kwa ajili ya kuinjilisha, kuburudisha, kuhabarisha, kuelimisha na kushirikisha.