SHUHUDIA MISA TAKATIFU YA KUTABARUKU KANISA LA MT. YOHANE M'BATIZAJI PAROKIA YA MAPANDA
Автор: JIMBO KATOLIKI MAFINGA
Загружено: 2025-06-25
Просмотров: 1929
MisaTakatifu imeongozwa na Mhashamu Askofu Vincent Mwagala, washiriki wengine walikuwa ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Bologna - Italia, Mwadhama Kardinali Matteo Maria Zuppi, Askofu Emeritus wa jimbo la Iringa JM Ngalalekumtwa, Askofu wa Jimbo la Iringa Mhashamu Askofu Romanus Mihali, Ma Padre kutoka sehemu mbalimbali, watawa na waumini wa Parokia za jirani
#kanisakatoliki #mahubiri #livestream #livenews #kanha
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: