Swahili Time

Karibu kwenye Swahili Time! Hapa ndipo unapopata habari mpya, za kisiasa, kijamii, burudani, ajali,simulizi, na matukio ya kitaifa na kimataifa — kwa Kiswahili fasaha. Tunaleta habari za uhakika, kwa wakati, kutoka Kenya, Afrika Mashariki na duniani kote.

Tunakuletea video mpya kila siku. Usisahau kubonyeza Subscribe na kugonga kengele ili usipitwe na lolote.

#HabariZaKenya #swahiliTime #MatukioLive #AjaliLeo #SiasaKenya #HabariZaTanzania