Juma alonealone

Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye makazi yangu kwasasa yapo uingereza,kupitia chanel yangu ninaelezea maswala mbalimbali ambayo yanahusiana na maisha ya kila siku kutoka kwenye nchi za ulaya pia na kutofautisha na maisha ya africa. Chanel yangu pia itakuwa inazungumzia jinsi y kufanya process za visa pamoja na vigezo vya visa pia bila kusahau nitakuwa natangaza ba kutoa fursa za kazi ambazo zinapatikana katika mataifa mbali mbali ya ulaya na jinsi ya kufanya application ya kazi hiyo ambayo itakuwa ina sponsorship.