3 February 2025
Автор: Juma alonealone
Загружено: 2025-02-03
Просмотров: 196
Jinsi ambavyo ni rahisi kwa watu wanaoishi ulaya kupata vitu vya bure ikiwemo chakula,funiture za nyumbani pamoja na nguo.
Hii clip itakusaidia ni jinsi gani ya kuipata hiyo app na jinsi inavyofanya kazi.
Ni app ambayo inasaidia sana watu wengi ambao wenye kipato cha chini na ni app ambayo inasaidia sana ambao hawajiwezi kwenye maswala ya chakula.
Inawezekana ukawa uingereza na ukawa hajajua jinsi gani ya kupata vitu vya bure kupitia hii video itakuelimisha na kukufundisha.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: