KMM UNUNIO

Tumuimbie Bwana wapendwa katika kristo. Hii ni account rasmi ya kwaya ya Mt. Maria Magdalena inayo injilisha kutoka parokia ya Mt. Yohane Paul II - Ununio ( KMM UNUNIO ) toka Jimbo katoliki la Bagamoyo.

Hapa utayapata matukio mbali mbali ya kwaya, lakini lengo kuu ni kumtukuza Mungu kwa nyimbo nzuri na za shangwe karibuni sana.