Mt. Maria Magdalena Ununio – Tunayo Nafasi (Official Music Video)
Автор: KMM UNUNIO
Загружено: 2025-11-23
Просмотров: 1947
Kila mmoja wetu amewahi kupitia wakati ambao moyo umechoka, nguvu zimeisha na imani imefifia. Lakini habari njema ni kwamba Mungu hutuangalia kwa macho ya huruma, si hukumu. Hata kama tumevunjika, tumeanguka au tumepoteza mwelekeo, bado tunayo nafasi ya kusimama upya. "Tunayo Nafasi.” Karibu kutazama wimbo wa Tunayo Nafasi uliotungwa na Emil Shayo na kuimbwa na Kwaya ya Mt. Maria Magdalena Ununio.
WIMBO: TUNAYO NAFASI
MTUNZI: EMIL SHAYO
WAIMBAJI: KMMUNUNIO
ORGANIST : NAZARETH AMOS
AUDIO: NADI PRO
VIDEO: MDETE
Usisahau ku susbscribe, like, comment na kushare
Ubarikiwe na Bwana.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: