MORUWASA DIGITAL

Mamlaka ya Majisafi na Usafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) ni Taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Maji, yenye dhamana ya kutoa huduma ya kusambaza Majisafi na uondoshaji wa Majitaka Katika Manispaa ya Morogoro na Miji ya Kilosa na Mikumi.