RAIS SAMIA ATOA BILIONI 15.3 KUMALIZA KERO YA MAJI KILOSA | ZAIDI YA WAKAZI LAKI MOJA KUNUFAIKA
Автор: MORUWASA DIGITAL
Загружено: 2025-11-18
Просмотров: 25
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga zaidi ya bilioni 15 kwaajili yakutatua changamoto ya maji katika mji wa Kilosa.
Kwasasa upatikanaji wa maji kwa mji wa Kilosa ni zaidi ya asilimia 85, na inatarajiwa kufika zaidi ya asilimia 100 mara baada ya mradi huo wa Ilonga kukamilika.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: